Tuesday, April 5, 2011

Dangerous Virus:

Dear Muslim Brothers and sisters,
In the coming days, DO NOT open any message with an attachment called: BLACK MUSLIM IN THE WHITE HOUSE, regardless of who sent it to you. It is a virus that opens an Olympics torch that burns the whole hard disk C of your computer. This virus comes from a known person who you have in your list.

Directions: You should send this message to all of your contacts. It is better to receive this e-mail 25 times than to receive the virus and open it. If you receive a message called BLACK MUSLIM IN THE WHITE HOUSE even if sent by a friend, do not open, and shut down your machine immediately. It is the worst virus announced by CNN. This new virus has been discovered recently it has been classified by Microsoft as the virus most destructive ever.
This virus was discovered yesterday afternoon by McAfee.. There is no repair yet for this kind of virus. This virus simply destroys the Zero Sector of the hard disk, where vital information function.

Wednesday, June 30, 2010

Thursday, June 24, 2010

Ingekuwa vipi Kama Zanzibar Tungalikuwa na Pesa Yetu?Hio ndo fedha ya Zanzibar, unaiona jinsi ilinavopendeza, pesa hii ilitumika miaka ya 1920....

Ngome Komgwe Ezi Zile!!!!!!!!!!Ngome kongwe ya zamani inavyonekana miaka ya 47, wakati wa ule wa ukoloni wa kiingereza.

Friday, June 11, 2010

Ukishangaa ya Mussa.......


Jamani Huyu dogo vipi tena! kitu gani anaangalia?

Zanzibar ya Enzi zile.


Jumba la sultani enzi zile!

Reli iliyokuwa zanzibar mwazoni mwa miaka ya 1900, na hapa ipo kwenye kituo chake cha Bububu

Haya yalikuwa ni mashindano ya bodi kwa kupiga makasia, nafikiri wazungu walituiga mashindano haya.
href="http://3.bp.blogspot.com/_PSvkKV0lJu0/TBHlKj7JnoI/AAAAAAAAAFU/Dy-OYLnPXIw/s1600/dance.jpg">
Burudani nao haikuwa nyuma, wananchi wakifurahia ngoma zao za asili, hapa hatumwi mtoto dukaniWahindi nao walikuwa nanabeba mtungi ya maji, sijuwi kina golo walikuwa hawapo!

href="http://3.bp.blogspot.com/_PSvkKV0lJu0/TBHjYxOwn8I/AAAAAAAAAFE/N7JuXQWts8c/s1600/darajani.jpg">

Hapa ni Darajani.. Na hili ndio daraja lenyewe lilifonya hili eneo likaitwa Darajani

Thursday, June 10, 2010